Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari 7, 2022

Mziki asilia kutoka kabila la wakurya kutoka mkoa wa Mara unaopatikana kaskazini mwa nchi ya Tanzania Barani Afrika

Ichisinko chalya abhamula ekerango

Ritungu nyakunguru

Umuya wane

Uchochoro

KABILA LA WAKURYA #02 Kabila la Abakuria pia linakaribiana na kabila la Wazanaki katika Mkoa wa Mara nchini Tanzania. Itikadi zao kadhaa zinafanana. Asili ya Wakurya ni Misri, walifika Congo kati ya 322. KK Hapo zamani kulikuwa na mtu aliyeitwa monto, huyu ni mzazi wa wabantu wote. Monto alizaa Range miongoni mwa wanae, Range alizaa Magaiwa, Magaiwa alizaa, alimzaa Mkurya. Mkurya alizaa watoto watano ambao ni Nyanchage, Wangwe, Mongoso, Nano na Mendi. Nyanchage aliwazaa Mtimbaru, Mosi, na Mosonga hawa ndio tunawaita inchage. Wangwe aliwazaa Moracha, Mwirege, Keroba, Mugumbe na Gisiri. Hawa ndio tunaowaita Engwe, kemoramba yagesaka. Watu walivyozidi kuongezeka ukoo wa Gisiri ulikimbilia umasaini nao huitwa Osiri hadi leo huko umasaini. Kutokana na kosa alilolifanya Gisiri, (ni stori ndefu), ukoo wa Moracha ulibadili jina ukaitwa abanyamongo (wenye maghala ya chakula). Ukoo wa Mugumbe ulibadili jina ukaitwa abalenchoka (wala nyoka, waliishi mlima wa nyoka). Mongoso alimzaa Mkira, mtoto pekee. Huyu ndo mzazi wa abakira na maana ya Mongo Mongoso leo ni tembo dume. Nano aliwazaa Mokenye, Musweta na Msimbete. Hawa ndio waitwao inano yaani nyani. Kutokana na hawa waliibuka watu mbalimbali kama abakine, abarieri, abamera, abanyanccha na abangoreme. Mendi alizaa mtoto mmoja tu Munchari, hawa hujiitia emendi yaani panya mdogo au irigeki. TOHARA (SARO) Orodha hii ni kutoka kwa Wairegi na Wanyamongo, Ila Majina ya Saro kwa wakurya yanafanana tofauti ni miaka. Miaka ambayo walikuwa hawatairi ilikuwa na Matatizo ya Vita au Kiangazi maana utaratibu ulikuwa wanaruka mwaka mmoja mmoja. Ijulikane kuwa kabla ya karne 19 tohara haikuwa kwa wakati mmoja kama sasa. 1. 1868 KEMBARAGUNI(GAIRORWE) WAIREGI Wairegi kukimbilia ng'ambo ya mto Mara, Nyamisangura, Kiagata 2. 1870 - 1880 GINGORI-WAIREGI 3. 1872 MERICHO-WAIREGI 4. 1874 GITURANI-WAIREGI 5. 1876 GESAMBISO-WAIREGI 6. 1878 NTINGURI- 7. 1880 NGICHARO 8. 1882 KEROBA 9. 1884 MUNGIRE-WAIREGI/MACHALE-WANYAMONGO 10. 1886 GIBURA/ITUMBE 11. 1888 KEHOCHA-WAIREGI/GISAMBISO-WANYAM ONGO 12. 1890 GITIRA-WAIREGI 13. 1892 KIRINA-WANYAMONGO/MACHALE-WAIREGI 14. 1894 KIRINA-WAIREGE 15. 1896 NGINOGO-WANYAMONGO/ABAMASE-WAIREGI 16. 1898 GETEBA-WAIREGI 17. 1900 NGINOGO-CHUNUCHI-WAIREGI/ROMORE(ABASABALINGO)-WANYAMONGO 18. 1910 ROMORE-WAIREGI 19. 1912 NGINARO-WAIREGI 20. 1914 MESONGO-WAIREGI/NGINARO(AMAITANG 'OMBE) 21. 1916 ABAKAMPUNI-WAIREGI 22. 1918 - 1920 ABAKARAMU-WAIREGI/ABAMESONGO-WANYAMONGO 23. 1920 - 1926KABILA LA WAKURYA #02 Kabila la Abakuria pia linakaribiana na kabila la Wazanaki katika Mkoa wa Mara nchini Tanzania. Itikadi zao kadhaa zinafanana. Asili ya Wakurya ni Misri, walifika Congo kati ya 322. KK Hapo zamani kulikuwa na mtu aliyeitwa monto, huyu ni mzazi wa wabantu wote. Monto alizaa Range miongoni mwa wanae, Range alizaa Magaiwa, Magaiwa alizaa, alimzaa Mkurya. Mkurya alizaa watoto watano ambao ni Nyanchage, Wangwe, Mongoso, Nano na Mendi. Nyanchage aliwazaa Mtimbaru, Mosi, na Mosonga hawa ndio tunawaita inchage. Wangwe aliwazaa Moracha, Mwirege, Keroba, Mugumbe na Gisiri. Hawa ndio tunaowaita Engwe, kemoramba yagesaka. Watu walivyozidi kuongezeka ukoo wa Gisiri ulikimbilia umasaini nao huitwa Osiri hadi leo huko umasaini. Kutokana na kosa alilolifanya Gisiri, (ni stori ndefu), ukoo wa Moracha ulibadili jina ukaitwa abanyamongo (wenye maghala ya chakula). Ukoo wa Mugumbe ulibadili jina ukaitwa abalenchoka (wala nyoka, waliishi mlima wa nyoka). Mongoso alimzaa Mkira, mtoto pekee. Huyu ndo mzazi wa abakira na maana ya Mongo Mongoso leo ni tembo dume. Nano aliwazaa Mokenye, Musweta na Msimbete. Hawa ndio waitwao inano yaani nyani. Kutokana na hawa waliibuka watu mbalimbali kama abakine, abarieri, abamera, abanyanccha na abangoreme. Mendi alizaa mtoto mmoja tu Munchari, hawa hujiitia emendi yaani panya mdogo au irigeki. TOHARA (SARO) Orodha hii ni kutoka kwa Wairegi na Wanyamongo, Ila Majina ya Saro kwa wakurya yanafanana tofauti ni miaka. Miaka ambayo walikuwa hawatairi ilikuwa na Matatizo ya Vita au Kiangazi maana utaratibu ulikuwa wanaruka mwaka mmoja mmoja. Ijulikane kuwa kabla ya karne 19 tohara haikuwa kwa wakati mmoja kama sasa. 1. 1868 KEMBARAGUNI(GAIRORWE) WAIREGI Wairegi kukimbilia ng'ambo ya mto Mara, Nyamisangura, Kiagata 2. 1870 - 1880 GINGORI-WAIREGI 3. 1872 MERICHO-WAIREGI 4. 1874 GITURANI-WAIREGI 5. 1876 GESAMBISO-WAIREGI 6. 1878 NTINGURI- 7. 1880 NGICHARO 8. 1882 KEROBA 9. 1884 MUNGIRE-WAIREGI/MACHALE-WANYAMONGO 10. 1886 GIBURA/ITUMBE 11. 1888 KEHOCHA-WAIREGI/GISAMBISO-WANYAM ONGO 12. 1890 GITIRA-WAIREGI 13. 1892 KIRINA-WANYAMONGO/MACHALE-WAIREGI 14. 1894 KIRINA-WAIREGE 15. 1896 NGINOGO-WANYAMONGO/ABAMASE-WAIREGI 16. 1898 GETEBA-WAIREGI 17. 1900 NGINOGO-CHUNUCHI-WAIREGI/ROMORE(ABASABALINGO)-WANYAMONGO 18. 1910 ROMORE-WAIREGI 19. 1912 NGINARO-WAIREGI 20. 1914 MESONGO-WAIREGI/NGINARO(AMAITANG 'OMBE) 21. 1916 ABAKAMPUNI-WAIREGI 22. 1918 - 1920 ABAKARAMU-WAIREGI/ABAMESONGO-WANYAMONGO 23. 1920 - 1926

Kurya music

KABILA LA WAKURYA. #01 Abakuria (au Wakurya) ni kabila la watu wanaoishi katika wilaya za Rorya, Tarime na Serengeti kwenye mkoa wa Mara, kaskazini mwa Tanzania, na katika wilaya za magharibi na mashariki mwa Mkoa wa Nyanza katika sehemu ya kusini mashariki ya Kenya. Mnamo mwaka 2005, idadi ya Abakuria ilikadiriwa kuwa 690,000, ikiwa ni 430,000 wanaoishi nchini Tanzania na 260,000 nchini Kenya. Lugha yao ni Kikuria. Abakuria ni wakulima na wafugaji, huku Abakuria wa nchini Kenya wakiegemea sana kwa kilimo nao wa nchini Tanzania wakiegemea sana ufugaji. Kilimo cha asili walikuwa wanalima ulezi mtama na viazi tu kwa ajili ya kutengeneza Togwa (obosara) na Pombe. Mazao mengine yalianza kulimwa miaka ya 1900 baada ya wajerumani kuhimiza kilimo. Wakurya hawapendi kutawaliwa wala kuonewa hivyo walikuwa na saiga lika ya vijana kwa ajili ya ulinzi na usalama hivyo utumwa haukuwaathiri sana. Ila kwa kupenda kwao vita walijiunga sana na jeshi K.A.R (King African Rifle) kupigana vita ya kwanza na ya pili na ya Uganda. Wakurya ndilo kabila ambalo huona vita kama Mchezo na kuua wakati wa vita ni kama kucheza tu na usiombe ukutane nao wakiwa na hasira. Ila ni watu wema sana wakati wa amani usipowachokoza hawana ubaya na MTU ila ukiwakosea bila kujua hukusamehe hats kabla hujaomba msamaha ila ukiwakosea makusudi hawana msamaha kabisa. Wakurya ni watu ambao hawasalimu amri ukionesha kuwashinda huenda kujipanga upya na kutafakari ni jinsi gani watashinda na si watu wa kukata tamaa na wakiwa na mori hawaogopi chochote wala lolote wako tayari kukabiliana nalo. Hasa Abakuria walio katika wilaya ya Serengeti wanatambulika kama wafugaji. Abakuria wanafanana na Wakisii wa nchini Kenya kwa lugha na umbile. Wanadhaniwa walikuwa kundi moja hadi waliposhambuliwa vikali na Wamasai mnamo karne ya 19 na kusambaratishwa katika maeneo tofautitofauti. Lakini kuna lika ambalo liliandaliwa likapewa mafunzo ya kivita ili kukabiliana na wamasai kwa kutumia pinde na mishale ambapo waliwafuata wamasai na kuwaua kwa wingi ndipo ukawa mwisho wa vita kati ya wamasai na wakurya pia eneo la mbuga ya serengeti na masai mara likapatikana baada ya wamasai kufukuzwa hadi arusha. Ndipo wakurya wakaweka makao yao ya kudumu eneo hilo na kuendesha Shughuli ya ufugaji na kilimo. Utengano huo ulisababisha kuweko kwa lahaja mbili ambazo zinaeleweka na kila kundi. Wakurya ni watu wenye upendo sana wakati wa amani hukubali kukaa na wageni na kuchukuliana kama ndugu, na hii ilipelekea kuwepo wakulya wenyeasili ya makabila jirani mfano kuna wakurya wenye asili ya wajaluo, wasukuma, wamasai n.k. Abakuria wamegawanyika katika "makabila madogo" au koo kumi na sita, nazo ni: Nyabasi, Bakira, Bairege, Bagumbe (wanaoishi katika wilaya za nchini Kenya na Tanzania), Batimbaru, Banyamongo, Bakenye, Basimbiti, Basweta, Barenchoka, Baikoma, Bamerani na mengineyo. Makabila haya madogo yote yapo pia katika kabila la Wakisii nchini Kenya. Inaendelea.......

IMIËËRI (MIEZI) KUGIKURYA JANUARY - KINYARIRI FEBRUARY - ITABARAARI MARCH - MATUYI APRIL - KIMUAMU MAY - KERABU JUNE - IHËTA JULY - MABËHÖ AUGUST - NYANSAHI SEPTEMBER - IKUURI Ë MASARIIRO OCTOBER - EGARAATIGA NOVEMBER - ITIIRIA YA MBËRË DECEMBER - ITIIRIA YA KABËRË

ABAKURYA ICHINYUUMBA A. INCHAGE 1.Abanyabasi 2.Abatimbaru 3.Abasonga B. WANCHUGU 1.Mukiira 2.Mugusuhi C. WANGWË 1.Mwirëëgë 2.Mugumbe 3.Munyamööngö D. WANGOGË 1.Musweta 2.Munchari 3.Mokënyë. Umeona kuwa tumegawanyika mara 4,lakini sote ni Abakurya.ABAKURYA ICHINYUUMBA A. INCHAGE 1.Abanyabasi 2.Abatimbaru 3.Abasonga B. WANCHUGU 1.Mukiira 2.Mugusuhi C. WANGWË 1.Mwirëëgë 2.Mugumbe 3.Munyamööngö D. WANGOGË 1.Musweta 2.Munchari 3.Mokënyë. Umeona kuwa tumegawanyika mara 4,lakini sote ni Abakurya.

AMAKORA A:MÖNYASAE -Abasaaë -Abanyamburiti -Abagamunyëri Abamaina B:MÖNYACHUUMA. -Abachuuma -Abamairabe /Abagorongoro -Abagiini Abanyaangi. Jitambue!!!

Kurya music

Mziki wa asili kutoka kabila la wakurya

Kurya music