KABILA LA WAKURYA #02 Kabila la Abakuria pia linakaribiana na kabila la Wazanaki katika Mkoa wa Mara nchini Tanzania. Itikadi zao kadhaa zinafanana. Asili ya Wakurya ni Misri, walifika Congo kati ya 322. KK Hapo zamani kulikuwa na mtu aliyeitwa monto, huyu ni mzazi wa wabantu wote. Monto alizaa Range miongoni mwa wanae, Range alizaa Magaiwa, Magaiwa alizaa, alimzaa Mkurya. Mkurya alizaa watoto watano ambao ni Nyanchage, Wangwe, Mongoso, Nano na Mendi. Nyanchage aliwazaa Mtimbaru, Mosi, na Mosonga hawa ndio tunawaita inchage. Wangwe aliwazaa Moracha, Mwirege, Keroba, Mugumbe na Gisiri. Hawa ndio tunaowaita Engwe, kemoramba yagesaka. Watu walivyozidi kuongezeka ukoo wa Gisiri ulikimbilia umasaini nao huitwa Osiri hadi leo huko umasaini. Kutokana na kosa alilolifanya Gisiri, (ni stori ndefu), ukoo wa Moracha ulibadili jina ukaitwa abanyamongo (wenye maghala ya chakula). Ukoo wa Mugumbe ulibadili jina ukaitwa abalenchoka (wala nyoka, waliishi mlima wa nyoka). Mongoso alimzaa Mkira, mtoto pekee. Huyu ndo mzazi wa abakira na maana ya Mongo Mongoso leo ni tembo dume. Nano aliwazaa Mokenye, Musweta na Msimbete. Hawa ndio waitwao inano yaani nyani. Kutokana na hawa waliibuka watu mbalimbali kama abakine, abarieri, abamera, abanyanccha na abangoreme. Mendi alizaa mtoto mmoja tu Munchari, hawa hujiitia emendi yaani panya mdogo au irigeki. TOHARA (SARO) Orodha hii ni kutoka kwa Wairegi na Wanyamongo, Ila Majina ya Saro kwa wakurya yanafanana tofauti ni miaka. Miaka ambayo walikuwa hawatairi ilikuwa na Matatizo ya Vita au Kiangazi maana utaratibu ulikuwa wanaruka mwaka mmoja mmoja. Ijulikane kuwa kabla ya karne 19 tohara haikuwa kwa wakati mmoja kama sasa. 1. 1868 KEMBARAGUNI(GAIRORWE) WAIREGI Wairegi kukimbilia ng'ambo ya mto Mara, Nyamisangura, Kiagata 2. 1870 - 1880 GINGORI-WAIREGI 3. 1872 MERICHO-WAIREGI 4. 1874 GITURANI-WAIREGI 5. 1876 GESAMBISO-WAIREGI 6. 1878 NTINGURI- 7. 1880 NGICHARO 8. 1882 KEROBA 9. 1884 MUNGIRE-WAIREGI/MACHALE-WANYAMONGO 10. 1886 GIBURA/ITUMBE 11. 1888 KEHOCHA-WAIREGI/GISAMBISO-WANYAM ONGO 12. 1890 GITIRA-WAIREGI 13. 1892 KIRINA-WANYAMONGO/MACHALE-WAIREGI 14. 1894 KIRINA-WAIREGE 15. 1896 NGINOGO-WANYAMONGO/ABAMASE-WAIREGI 16. 1898 GETEBA-WAIREGI 17. 1900 NGINOGO-CHUNUCHI-WAIREGI/ROMORE(ABASABALINGO)-WANYAMONGO 18. 1910 ROMORE-WAIREGI 19. 1912 NGINARO-WAIREGI 20. 1914 MESONGO-WAIREGI/NGINARO(AMAITANG 'OMBE) 21. 1916 ABAKAMPUNI-WAIREGI 22. 1918 - 1920 ABAKARAMU-WAIREGI/ABAMESONGO-WANYAMONGO 23. 1920 - 1926KABILA LA WAKURYA #02 Kabila la Abakuria pia linakaribiana na kabila la Wazanaki katika Mkoa wa Mara nchini Tanzania. Itikadi zao kadhaa zinafanana. Asili ya Wakurya ni Misri, walifika Congo kati ya 322. KK Hapo zamani kulikuwa na mtu aliyeitwa monto, huyu ni mzazi wa wabantu wote. Monto alizaa Range miongoni mwa wanae, Range alizaa Magaiwa, Magaiwa alizaa, alimzaa Mkurya. Mkurya alizaa watoto watano ambao ni Nyanchage, Wangwe, Mongoso, Nano na Mendi. Nyanchage aliwazaa Mtimbaru, Mosi, na Mosonga hawa ndio tunawaita inchage. Wangwe aliwazaa Moracha, Mwirege, Keroba, Mugumbe na Gisiri. Hawa ndio tunaowaita Engwe, kemoramba yagesaka. Watu walivyozidi kuongezeka ukoo wa Gisiri ulikimbilia umasaini nao huitwa Osiri hadi leo huko umasaini. Kutokana na kosa alilolifanya Gisiri, (ni stori ndefu), ukoo wa Moracha ulibadili jina ukaitwa abanyamongo (wenye maghala ya chakula). Ukoo wa Mugumbe ulibadili jina ukaitwa abalenchoka (wala nyoka, waliishi mlima wa nyoka). Mongoso alimzaa Mkira, mtoto pekee. Huyu ndo mzazi wa abakira na maana ya Mongo Mongoso leo ni tembo dume. Nano aliwazaa Mokenye, Musweta na Msimbete. Hawa ndio waitwao inano yaani nyani. Kutokana na hawa waliibuka watu mbalimbali kama abakine, abarieri, abamera, abanyanccha na abangoreme. Mendi alizaa mtoto mmoja tu Munchari, hawa hujiitia emendi yaani panya mdogo au irigeki. TOHARA (SARO) Orodha hii ni kutoka kwa Wairegi na Wanyamongo, Ila Majina ya Saro kwa wakurya yanafanana tofauti ni miaka. Miaka ambayo walikuwa hawatairi ilikuwa na Matatizo ya Vita au Kiangazi maana utaratibu ulikuwa wanaruka mwaka mmoja mmoja. Ijulikane kuwa kabla ya karne 19 tohara haikuwa kwa wakati mmoja kama sasa. 1. 1868 KEMBARAGUNI(GAIRORWE) WAIREGI Wairegi kukimbilia ng'ambo ya mto Mara, Nyamisangura, Kiagata 2. 1870 - 1880 GINGORI-WAIREGI 3. 1872 MERICHO-WAIREGI 4. 1874 GITURANI-WAIREGI 5. 1876 GESAMBISO-WAIREGI 6. 1878 NTINGURI- 7. 1880 NGICHARO 8. 1882 KEROBA 9. 1884 MUNGIRE-WAIREGI/MACHALE-WANYAMONGO 10. 1886 GIBURA/ITUMBE 11. 1888 KEHOCHA-WAIREGI/GISAMBISO-WANYAM ONGO 12. 1890 GITIRA-WAIREGI 13. 1892 KIRINA-WANYAMONGO/MACHALE-WAIREGI 14. 1894 KIRINA-WAIREGE 15. 1896 NGINOGO-WANYAMONGO/ABAMASE-WAIREGI 16. 1898 GETEBA-WAIREGI 17. 1900 NGINOGO-CHUNUCHI-WAIREGI/ROMORE(ABASABALINGO)-WANYAMONGO 18. 1910 ROMORE-WAIREGI 19. 1912 NGINARO-WAIREGI 20. 1914 MESONGO-WAIREGI/NGINARO(AMAITANG 'OMBE) 21. 1916 ABAKAMPUNI-WAIREGI 22. 1918 - 1920 ABAKARAMU-WAIREGI/ABAMESONGO-WANYAMONGO 23. 1920 - 1926

KABILA LA WAKURYA #02 Kabila la Abakuria pia linakaribiana na kabila la Wazanaki katika Mkoa wa Mara nchini Tanzania. Itikadi zao kadhaa zinafanana. Asili ya Wakurya ni Misri, walifika Congo kati ya 322. KK Hapo zamani kulikuwa na mtu aliyeitwa monto, huyu ni mzazi wa wabantu wote. Monto alizaa Range miongoni mwa wanae, Range alizaa Magaiwa, Magaiwa alizaa, alimzaa Mkurya. Mkurya alizaa watoto watano ambao ni Nyanchage, Wangwe, Mongoso, Nano na Mendi. Nyanchage aliwazaa Mtimbaru, Mosi, na Mosonga hawa ndio tunawaita inchage. Wangwe aliwazaa Moracha, Mwirege, Keroba, Mugumbe na Gisiri. Hawa ndio tunaowaita Engwe, kemoramba yagesaka. Watu walivyozidi kuongezeka ukoo wa Gisiri ulikimbilia umasaini nao huitwa Osiri hadi leo huko umasaini. Kutokana na kosa alilolifanya Gisiri, (ni stori ndefu), ukoo wa Moracha ulibadili jina ukaitwa abanyamongo (wenye maghala ya chakula). Ukoo wa Mugumbe ulibadili jina ukaitwa abalenchoka (wala nyoka, waliishi mlima wa nyoka). Mongoso alimzaa Mkira, mtoto pekee. Huyu ndo mzazi wa abakira na maana ya Mongo Mongoso leo ni tembo dume. Nano aliwazaa Mokenye, Musweta na Msimbete. Hawa ndio waitwao inano yaani nyani. Kutokana na hawa waliibuka watu mbalimbali kama abakine, abarieri, abamera, abanyanccha na abangoreme. Mendi alizaa mtoto mmoja tu Munchari, hawa hujiitia emendi yaani panya mdogo au irigeki. TOHARA (SARO) Orodha hii ni kutoka kwa Wairegi na Wanyamongo, Ila Majina ya Saro kwa wakurya yanafanana tofauti ni miaka. Miaka ambayo walikuwa hawatairi ilikuwa na Matatizo ya Vita au Kiangazi maana utaratibu ulikuwa wanaruka mwaka mmoja mmoja. Ijulikane kuwa kabla ya karne 19 tohara haikuwa kwa wakati mmoja kama sasa. 1. 1868 KEMBARAGUNI(GAIRORWE) WAIREGI Wairegi kukimbilia ng'ambo ya mto Mara, Nyamisangura, Kiagata 2. 1870 - 1880 GINGORI-WAIREGI 3. 1872 MERICHO-WAIREGI 4. 1874 GITURANI-WAIREGI 5. 1876 GESAMBISO-WAIREGI 6. 1878 NTINGURI- 7. 1880 NGICHARO 8. 1882 KEROBA 9. 1884 MUNGIRE-WAIREGI/MACHALE-WANYAMONGO 10. 1886 GIBURA/ITUMBE 11. 1888 KEHOCHA-WAIREGI/GISAMBISO-WANYAM ONGO 12. 1890 GITIRA-WAIREGI 13. 1892 KIRINA-WANYAMONGO/MACHALE-WAIREGI 14. 1894 KIRINA-WAIREGE 15. 1896 NGINOGO-WANYAMONGO/ABAMASE-WAIREGI 16. 1898 GETEBA-WAIREGI 17. 1900 NGINOGO-CHUNUCHI-WAIREGI/ROMORE(ABASABALINGO)-WANYAMONGO 18. 1910 ROMORE-WAIREGI 19. 1912 NGINARO-WAIREGI 20. 1914 MESONGO-WAIREGI/NGINARO(AMAITANG 'OMBE) 21. 1916 ABAKAMPUNI-WAIREGI 22. 1918 - 1920 ABAKARAMU-WAIREGI/ABAMESONGO-WANYAMONGO 23. 1920 - 1926

Maoni

Machapisho Maarufu